ZAWADI YA MEYA MASABURI
Meya wa Jiji la Vallejo, Carifornia nchini Marekani Osby Davis, akimkabidhi zawadi ya saa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mstahiki Didas Masaburi, wakati wa ziara kuangalia fursa za uwekezaji, Dar es Salaam jana.
UKAGUZI PIKIPIKI
Askari wa usalama barabarani akiizuia pikipiki baada ya kuikamata ili ikaguliwe, kama alivyokutwa Mtaa wa Samora Posta, Dar es Salaam jana. All the time in world
INNOWISE BLOG
All about my carier its listed here funs check it out
Friday, August 3, 2012
RATIBA YA MICHUANO YA DIMBA LA MABINGWA YA BancABC SUP8R YAZINDULIWA RASMI.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi(kulia)
akimkabidhi Makamu wa kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani kwa
ajili ya mashindano ya BancABC SUP8R wakati wa uzinduzi rasmi uliofanyika Dar
es Salaam.
Uongozi wa
BancABC na TFF wakiwa wameshikira Kombe kuashira Baraka njema na kutakia
mashindano mema ya BancABC SUP8R .Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile
Hoseah,Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani,Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC
Nchini,Boniphace Nyoni na Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya
BancABC, Douglas Munatsi
Picha ya
Pamoja ya Uongozi wa BancABC,Mabalozi wa BancABC kutoka Kampuni ya Integreted
Comminications na Kombe.
Picha ya
Pamoja ya Mabalozi wa BancABC kutoka Integrated Comminications
RATIBA YA MICHUANO YA“BancABC SUP8R
2012” YATANGAZWA!.
Draw
maalumyakupangaratibakamiliyamichuanoya“BancABC SUP8R 2012”imechezeshwaleohiijijini
Dar Es Salaam,
zoezihilililitanguliwanakutajwakwamajinayatimunaneambazoJumamosihiizitaingiaviwanjanikatikamikoaya
Dar Es Salaam, Arusha, Mwanzana Zanzibar.
Akizingumzanawaandishiwahabari,
afisahabariwa TFF bwana Boniface Wamburaalisemamashindanohayayatashirikishatimutatuzilizofanyavizurikwenyeligikuuya
Tanzania barailiyoishayaani Simba,
YanganaAzamzikiungananatimumpyailiyofaulukuingialigikuuyabaramsimuujaoyaaniMgambo
JKT kutokaHandeni. Timuhizinnezitaungananatimuzinazoshirikikutoka Zanzibar ambazozilifanyavizurikwenyemsimuwaligikuuya
Zanzibar uliomalizika. TimuhiziniJamhuri, Zima Motona Super Falconambazozitaungananatimuiliyofaulukuingialigikuuya
Zanzibar msimuujaoyaanitimuyaMtende Rangers.
SikuyaJumamosimechizaufunguzizitachezwakwawakatimmojakatikaviwanjavyotevinnevyamashindanohaya.
Jijini Dar Es Salaam mechizitachezwakatikauwanjawaChamazikuleMbagala,
mjiniArushakatikauwanjawaShaikhAmriAbeid, kuleMwanzakatikauwanjawa CCM
Kirumbana Zanzibar katikauwanjawaAmani. Mechizotezitaanzasaakumijioni.
Naye Bwana
BoniNyoni, mkurugenzimtendajiwaBancABCalisemabenkihiiimedhaminimashindanohayakwalengo
la kuwazawadiawateja wake kwakuwapaburudanihiiyampirawamiguu.
Alisemahiinikutimizapiatamko la
serikalikwamakampuninataasisibinafsikujihusishanamichezo. Alisemajumlayaudhaminiwamichuanoya“BancABC SUP8R 2012”nishilingimilionimiananethemanini
(880,000,000/=) ambazozinajumuisha;
§ Gharamazamatayarishonauratibuwamichuano.
§ Malazikwatimunaviongozi.
§ Usafiriwatimu, wandegenaulewavituoni.
Zawadizamichuanoya“BancABC SUP8R 2012” nikamaifuatavyo;
§ Timuitakayoibukamshindiitazoakitita
chashilingimilioni 40 taslimu.
§ Mshindiwapiliitajinyakuliashilingimilioni
20.
§ Timu 2
zitakazotolewanusufainalizitajipatiamilioni 15 kilamoja.
§ Timu4zitakazotolewarobofainalizitajipatiamilioni5
kilamoja.
§ Mchezaji bora
wamashindanoatanyakuamilioni 2 nalaki 5 na
§ Mfungaji bora
wamashindanoatanyakuamilioni 2 taslimu.
Bwana
Nyonialiwaombawatanzaniakujitokezakwawingikushangiliatimuzaonakushuhudiakiwango
bora
cha
kandandakutokakwatimuhizizilizoshikanafasizajuukwenyeligiziliyokwisha
Tanzania Bara navisiwani.
Mashindanohayayatazipatimuhizinafasiyakujaribuvikosivyaovipyavinavyounganishawachezajiwapyawaliosajiliwana
wale
walioposasa.
Inatoanafasipiakwatimuzinazoingialigikuukuwaonyeshawashabikiwasokakwambakwelizikotayarikukabilimikikimikikiyaligikuuitakapoanzahivikaribuni.
Bwana BonialimalizakwakuwaombawashabikiwasokakutembeleamatawiyaBancABCyaliyokoKariakoo,
Quality Centre, Upanganamtaawa Swahili kuleArushailikujipatiahuduma bora
zabenkihii.
Naye Bwana
Douglas T Munatsi, MurugenzimtendajiwamuunganikowamakampuniyaBancABCalisemakwa
wale ambaohawafahamu, BancABCilianzishamichuanoyamtoanowatimunanekwamaraya
kwanza nchini Zimbabwe mwaka 2008. Michuanohiiambayokwasasainajulikanakama“BancABC SUP8R” ilikuwananiayakufanyikamaramojatuilikutangazakuingiakwaBancABCkatikasektayahudumazakibenki.
Lakinikutokananamafanikiomakubwayaliyopatikanakatikamiakamitatu,wakaamuamichuanoya“BancABC SUP8R”ifanyikekilamwakailikuwapanafasikujumuikanawashabikiwakweliwa“BancABC SUP8R”viwanjani. HiinifursapiayafurahakwamamilioniyawapendasokakatikamaeneombalimbaliyaAfrika.
Bwana
MunatsialiendeleakusemakwambaBancABCinajitahidisanakuwakinarakatikahudumazakibenkinapiakuongozakatikaubunifu.
NiayamuunganikowamakampuniyaBancABCimekuwakuhakikishakwambamafanikioyaudhaminiwamichuanoya“BancABC SUP8R”yanafikapiakatikanchizoteambazoBancABCinatoahudumazakibenki.
Mipangoyamudamrefunikuhakikishawashindiwa“BancABC
SUP8R”wakilanchiwanakutanishwailikupatamshindimmojawanchizote. Alimalizakwakusema,
“Ni kwaheshimakubwanafurahatelenazinduarasmimichuanoya“BancABC SUP8R” hapa Tanzania nanawashukurusana TFF
kwakukubalikuungananaBancABC”.
Fainalizamashindanohayazinatarajiwakufanyikakatikauwanjampyawataifahapa
Dar EsSalaasikuJumamosiyatarehe 18 mwezihuu.
Saturday, July 28, 2012
DVD ZA SUPER D BOXING COACH ZILIZOPO SOKONI

DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
Sunday, March 11, 2012
Sunday, February 26, 2012
TPBC kuingia mkataba na Jiji la Arusha
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBC) imeanza mazungumzo ya awali ya kuingia kwenye mkataba wa miaka mitano na Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Kikao cha kwanza cha makubaliano haya kilifanyika tarehe February 16, 2012 jijini Arusha ambapo suala zima la Utalii wa Michezo (Sports Tourism) lilitawala.
Katika mazungumzo hayo, Jiji la Arusha liliwakilishwa na Mstahiki Meya Gaudence Lyimo na Naibu Meya Sakeyan. Kwa upande wa TPBC, IBF na CBC waliwakilishwa na Rais wake Onesmo Ngowi pamoja na Kamishna wa TPBC mkoa Arusha Roman Chuwa ambaye ni mfanyabishara wa utalii anayemiliki kampuni ya Equatorial Safaris and Tours ya jijini Arusha.
Makubaliano haya ambayo yanarajia kuzaa mkataba wa miaka mitano kati ya wabia hawa (Halmashauri ya Jiji la Arusha na TPBC) yanalenga kujenga ajira kwa vijana, kutangaza jiji la Arusha kama kitovu cha utalii wa ndani na nje (Destination Market), kujenga biashara za nje (Foreign trades) pamoja na kuanzisha na kuendeleza mtandao vituo (Sports gyms) vya mafunzo ya kuibua vipaji vya michezo kwa vijana katika kata zote za Jiji la Arusha.
Katika makubaliano haya, Ngowi anawakilisha pia Shirikisho la Ngumi la Kimataifa (IBF) lililo na makao makuu yake makuu jijini New Jersey, nchini Marekani ambalo litatumika kutangaza jiji la Arusha kama kitovu cha biashara ya kitalii kwa wananchi wa Marekani na nchi zote za Amerika ya Kaskazini, Kusini ya Caribbean.
IBF ina mtandao katika nchi zaidi ya 78 na itasaidia sana kutangaza jiji la Arusha kwenye mtanado wake.
Mkataba huo pia unajumuisha Baraza la Ngumi la Jumuiya ya Madola Commonwealth Boxing Council (CBC) ambalo Onesmo Ngowi ni Mkurugenzi wa Bodi yake. CBC litatoa vibali vya mapambano ya kugombea ubingwa wa Jumuiya ya Madola.
Aidha, makubaliano haya yatalipatia jiji la Arusha mapambano manne (4) ya kimataifa kwa mwaka yatayosimamiwa na IBF ambayo yatarushwa na luninga kwenye nchi zaidi ya 78 duniani zikiweko Marekani, nchi za Ulaya, Japan na Australia ambazo ndio chemecheem kubwa ay watalii Tanzania.
Imetolewa na
Onesmo A.M.Ngowi
IBF/USBA President for Africa
Director, Commonwealth (British Empire) Boxing Council (CBC)
President, Tanzania Professional Boxing Commission (TPBC)

Subscribe to:
Posts (Atom)